Wewe sakayo mbona una maneno ya ajabu !!Mie niko na mume humu na mchepuko mmoja!!! Wananielewa
Daaaahhhh!!Hahaha na mambo yenyewe ndo haya
Hahaha a anafaaa kabisaaaaDaaaahhhh!!
Nimepata maswali mengi sana ya kufanya simple research mojawapo ikiwa ni.
Mtu akifika Menopause bado anafaa kwa matumizi?
Najitafutia CV za hapa na pale maana Dunia ndio iko kwenye mwendokasi lazima nisiachwe nyuma[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha a anafaaa kabisaaaa
Ujue wahenga ni wajuzi pia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lakini tukumbuke kiporo na chakula kipya ladha hazifanani
Walifikiria mbali sana.Ujue wahenga ni wajuzi pia
UmeonaeeWalifikiria mbali sana.
Kauli zao haziwezi ku expire hata kidogo
Yap.Umeonaee
PouwaYap.
Baadae bana Linamo, ngoja nipumzishe kwanza vidole
Hahaha[emoji125] [emoji125] basi nisamehe bwana shemeji
Hahaa si shemeji kwako au.. ?Hahaha
Ushemeji huo veepe
SitakiiiiiMh! Wale siyo kuwa wanataniana kwenye nyuzi tu...? Couple yenu ingenoga mno
Simtaki huyooKuna ubaya gan Sakaya.. Mbona unalalama mno
EwaaHahaaaa asiwe na hofu sana
Ko unanicheka au[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeona mahaliMimi ndio nimeuona uzi leo, hujaona couple yangu ya uteuzi hapa maana uzi umekuwa mrefu kweli kweli?
Wacha nikufwe na utamu wangu mie!!! Sio muosha naniliu aiseWewe sakayo mbona una maneno ya ajabu !!
Hahahahahahahahaha duh.
Ufe na utamu tena
HahahaHahaa si shemeji kwako au.. ?
Hata sikumbuki..[emoji125] [emoji125]Hahaha
Nani kasema shougaa
Yaani wewe Umeanza uchochezi eeehHata sikumbuki..[emoji125] [emoji125]