Naona kama kapo yetu hujaipenda hivikwema kabisa mkuu habari yako!
hapana mkuu hiyo kapo itakuwa hot sana sema kilichonifurahisha ni jinsi vile mleta mada alivyopatia! sijui alifikiria nini aisee...Naona kama kapo yetu hujaipenda hivi
Woow asante mkuu endelea kutuombea tuone wajukuuhapana mkuu hiyo kapo itakuwa hot sana sema kilichonifurahisha ni jinsi vile mleta mada alivyopatia! sijui alifikiria nini aisee...
kila la kheri mkuu,hakikisha sasa Joseverest anaachia ile nafasi ya kwanza kurepond kwenye post mbalimbali ageukie familia 😀😀Woow asante mkuu endelea kutuombea tuone wajukuu
Mama yamekuwa haya tena...?Hehehe kumbe asante nimekuelewa babe kuanzia leo nitakusikiliza wewe tu
Kurespond kila post haina maana familia ameiacha mkuu majukumu yake ya kifamilia anatekeleza vema kabisakila la kheri mkuu,hakikisha sasa Joseverest anaachia ile nafasi ya kwanza kurepond kwenye post mbalimbali ageukie familia 😀😀
Nini tena baby?Mama yamekuwa haya tena...?
Bora tubaki wenyewe tu bby umeona keshaibia huyoMama yamekuwa haya tena...?
Jomon si nimefurahiKo unanicheka au
Hapa ndipo nipapohic mbavu zangu zinataka kutoka asee kwa kichekoWacha nikufwe na utamu wangu mie!!! Sio muosha naniliu aise
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naogopa homa ya ini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ubavu wa kuniacha hana..Hapo ndo utajua nini kilimpeleka Uwoya kwa Janjaro
Umevunja historiaNini tena baby?
Khantwe ataniua kwa presha kuanzia leo huyo ni dada angu atakuita wifiBora tubaki wenyewe tu bby umeona keshaibia huyo
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Ubavu wa kuniacha hana..Hapo ndo utajua nini kilimpeleka Uwoya kwa Janjaro
Sio ya kweli achana nae huyo anatapatapa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Ya kweli haya?
Hahaha dua la kuku...naanzaje kuachia ngazi kwa mfanoBora tubaki wenyewe tu bby umeona keshaibia huyo
kababy kengine?Nini tena baby?
Ya wapi tenaUmevunja historia
[emoji19] [emoji19] [emoji46] [emoji47] mbona amesema huwezi kumuacha?Sio ya kweli achana nae huyo anatapatapa