Kama hawa wangetengeneza couple hapa JF, zingenoga sana

Ongeza Panadol nyingine.
Kapeace msikie sikioni tu
 
kapeace njoo uone baby wetu anavyoshindana na vishawishi

Baby,you are awesome!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ivi siku ile ulikuwa unanichora!, si ulisema nimchukue Kapeace wewe umfaidi vizuri muosha naniliu.
Mbona mna nimix kama supu ya Mapupu hivi.

Aaaaagggghhhrrrr, sitaki bana simuachi Kapeace ng'oooo
 
Jamani Madame unajua me nimeumia sana ulivyosema una mtu humu JF naomba tu ntafutie maana me nilikuamini sana ww
[emoji85] [emoji85] [emoji85] umeumia tena??? Kweli dear amini hivo nina mtu humu hapo kwenye kukutaftia ndio shughuli hata sjui naanzia wapi
 
[emoji85] [emoji85] [emoji85] umeumia tena??? Kweli dear amini hivo nina mtu humu hapo kwenye kukutaftia ndio shughuli hata sjui naanzia wapi
Wala sijabisha mkuu naheshimu sana couples ila wanawake mnafahamiana zaidi we ntajie watatu halafu ntachagua mmoja. Au shirikiana na Bikra wa kichaga Miss Chaga [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…