Kama hawa wangetengeneza couple hapa JF, zingenoga sana

Hivi kumbe ni mie???!! Halafu Kati ya wanaume woooote JF kaona anipe huyoo ako na mke kila uzi??? Wacha nikufwe na utamu wangu mie kuliko kuletewa homa ya ini
Woiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…