M Mwanaweja JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 3,575 Reaction score 526 Sep 19, 2011 #21 takwimu hizi zinatisha sana maana ni aibnu . lakini hata hivyo tabia zetu zinatumaliza maana hatutaki kubadilika
takwimu hizi zinatisha sana maana ni aibnu . lakini hata hivyo tabia zetu zinatumaliza maana hatutaki kubadilika
Mr.Toyo JF-Expert Member Joined Feb 9, 2007 Posts 433 Reaction score 117 Sep 19, 2011 #22 FaizaFoxy said: Wacheni Zinaa! Click to expand... Sure, dawa ni kuachana na uasherati tuu.
Fadhili Paulo JF-Expert Member Joined Sep 1, 2011 Posts 3,211 Reaction score 993 Sep 19, 2011 #23 Kaunga said: Aliyeambukizwa last month anaanza dawa next month? Sema wamepimwa na kukutwa na maambukizi! Nani alisema humu ndani kuwa HIV haileti Ukimwi? Click to expand... endelea kuisoma taratibu post: [h=3]Man on ARV develops abnormal breasts[/h]
Kaunga said: Aliyeambukizwa last month anaanza dawa next month? Sema wamepimwa na kukutwa na maambukizi! Nani alisema humu ndani kuwa HIV haileti Ukimwi? Click to expand... endelea kuisoma taratibu post: [h=3]Man on ARV develops abnormal breasts[/h]
Mzee JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,602 Reaction score 5,809 Sep 19, 2011 #24 Vijana wa siku hizi wanahisi kuwa ujana ni zinaa.