Kama hii ndiyo audit process, Ripoti ya CAG haijakamilika

Means haina uhalisia au ina uhalisia? Then unadhan kwann Rais alitamka wazi wahusika watupishe? Unadhan hajui hili?

Mkuu watu walioambiwa wapishe ni wale walio over invoice nadhani; ukisoma taarifa ya Yunus hapo juu iko wazi zaidi. maelezo mengine unayaona kwenye aya ya mwisho
 
Mkuu auditing ni science na sayansi ni universal google mpaka JF. CAG ameweka hoja zake ambazo wakuu wamesema zijibiwe na wahusika. Katika hali hiyo unaweza kusema ripoti hii imekamilika?
Ushawahi kukaguliwa na CAG?
 
🤣🤣
 
Mchaw lugha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…