Kama hii ni nyumba yako kweli basi shikamoo Miriam Odemba

Mbezi,kigamboni,Arusha etc kuna nyumba kubwa na nzuri kuliko hiyo. Hapo hamna hata fence,garden,geti la ukweli na hata haijamaliziwa vizuri. Tuache utani wasanii wetu wanadeserve more than this. Nimepita leo sehemu nimesimama dakika kama tatu nashangaa nyumba sasa ukija hadi hadi kwenye mitandao ya kijamii na kusifia hii nyumba kwamba watanzania tuige nakushangaa. Anyway amejitahidi coz hao wengine hawana hata vibanda,shame kwa wasanii wetu.
 
Hongera Zake........hayo ndio mambo tunayotaka tuyaone kutoka kwao....
 

umeongea yan arusha njiro balaa nilipitishwa nikawa nashangaa tuh nikajua mambo haya mbezi n obey duhhhh
 
kibongo bongo msanii hapa kajitahidi sana, wewe unaishia kushangaa nyumba ya bilionea na unajaribu kujifananisha nae? utapasuka msamba. jaribu kujifananisha na saizi yako.

miriam size yake ni wanamitindo na wasanii wenzake.

 
Duu kumbe sanaa hailipi. Odemba nimeanza kumsikia kwenye tasnia ya urembo wakati niko chuo. Hadi leo zaidi ya 10 years ndo anafikisha hapo nyumba? Ana stahili kuwa zaidi ya hapo.
 
kilicho chema tukisifie!! mie sjui gharama yake ni ngap bt naanin its more than 100m!! she z a model n u want to compare her with rich men who are at njiro, mbez beach n other places!! je wwe mwnye kipato cha kawaida hyo nyumba yako yakawaida iko wap
 
Amejitahidi kwa kweli.....hongera zake...
 

Hizo nyumba za mbezi...arusha etc....ni za ma model kama yeye....?
 
kajitahidi sana...wasanii wengine hata uhakika wa kodi ya chumba hawana...miriam uko juuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…