Kama hii ni nyumba yako kweli basi shikamoo Miriam Odemba

Kweli Nyapu inalipa. natamani ningekuwa nayo ya bandia nifanye biashara
duh yamekuwa hayo!!!!! Hata hiyo sehemu nyingine uliyonayo inalipa tu. we itumie na utaona mafanikio yake. unatamani wakati rasilimali unayo!
 
Hongera Miriam..waache hao wanaokalia kushndana kubadilisha magari,na design za ma handbag!
Heaven on earth..sas nakuelewa kwann ulikua unataka white colour
 
Mijitu mingine bhna,inaponda utafikr baba zao wanamilik hat vibanda...she is a woman,u have to appreciate,we dume zima umeshindwa hat kujenga kibanda,hata kama kahongwa ni yeye,kauze na wewe uone kama utajengew hat banda la kuku
 
We unayo kama hiyo?? Hata kama haina fence. Kama unayo hongera pia, one step at a time fence na garden utamalizia taratibu!
 
We unayo kama hiyo?? Hata kama haina fence. Kama unayo hongera pia, one step at a time fence na garden utamalizia taratibu!

Hahaha mimi sina kama hiyo kwani kusema mtu kavaa nguo mbaya ina maana yako nzuri? Au kwani kumwambia mtu aliyepata 10% amefeli ina maana wewe uliyepata 5% umefaulu? Mimi naongea ukweli uliopo,watu maarufu bongo wanakuwa na majina makubwa lakini wanaishi katika hali duni, Kanumba kafa na mil 45 benki, Ngwair ndio kabisa hata hatujui ila wanasema alikuwa hana hela sasa watu tunaongea nyie mnasema "wewe unayo?" . Mtabaki hivyo hivyo
 
Kama huna kama hiyo basi unachozungunza ni wivu na majungu! Mi nilijua unayo zaidi ya hiyo??
 
Mijitu mingine bhna,inaponda utafikr baba zao wanamilik hat vibanda...she is a woman,u have to appreciate,we dume zima umeshindwa hat kujenga kibanda,hata kama kahongwa ni yeye,kauze na wewe uone kama utajengew hat banda la kuku

hahahaha hakika hilo dongo limempata
 
Hongera Miriam..waache hao wanaokalia kushndana kubadilisha magari,na design za ma handbag!
Heaven on earth..sas nakuelewa kwann ulikua unataka white colour

kip it up odemba,, ss hao wengine nawapa wiki utaanza kuwasikia watakavyoanza kujinadi.
 
wengine mpaka wahongwe kina jlyn
wengine hata za kupanga hatuzioni

odemba big up
 
Atakosaje jumba Kali wakati mwili anautumia vizuri!? Hongera zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…