Kama hii screenshot ni kweli basi tumekwisha

Wanafunga mashirika mengine kuondoa competition kwa kuwa walikuwa na gharama ndogo.

Hii ni sawa na kupandisha bei ya Mafuta ya taa Kisha yanatumika kuchakachua.

Viongozi wetu hawana njia nzuri ya kutatua matatizo ndio maana unakuta hata vyombo vya usalama wanazuia magari Kusafiri nyakati fulani au Bar kufungwa kwa kigezo Cha uhalifu.
 
Utasikia Magufuli ndo kasababisha.
High season hii, angalia hata nchi za mbele.
 
Precision air wameamriwa kupandisha bei? Hivi unafikiria kwa matacko au?
 
Si ndio wameifungia Fastjet mpaka waziri akachekelea subiria waifungie na Precision ndio mtajua faida ya kuwa na mashirika tofauti ya ndege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…