Hizi ni changamoto za biashara japokuwa ni ngumu kutoa maamuzi kwa kutumia flight moja.Je ni kila siku hakuna wateja au ni siku hiyo tuu?Na jee ilivyokua inarudi Entebe Kilimanjaro, hali ilikua hivyo hivyo?
Niliwahi kushuhudia Egypt Air Airbus 320 from Cairo to DSM ikiwa na abiria 20.
So hizi ni changamoto na ninaamini wahusika wakiona route hailipi wataifuta kama KQ walivyositisha NBO to New York.
Kabisa kabisa ila misifa tuHizi pesa tungeinvest kwenye reli tu bora tungerudisha reli Mtwara.
Hapana ni kutokuwa na business plana na kukimbilia biashara ta show off!!!!!!!!!!!Jamaa kila siku yeye ni kutafuta na kufurahia mapungufu tu.
MINIDEGE ZA NN?
Tunachangamoto nyngi sna km nchi.
tunachangamoto za
afya
elimu
uchumi
utawala bora(katiba)
Endelea kufurahia tu. Hakuna anayekukataza.tupo wengi tunaofurahia,wajinga nyieee,kazi ubaguzi na kuchochea mipasuko tu
Hayo mabasi hayatuhusu maana hatukuingiza kodi zetu sisi tunaongelea hiyo ndege yetu iliyo tafuna kodi zetu kuinunua tena keeshiiiHata basi za Modern kutoka Mwanza kwenda Nairobi mara nyingine huwa zinabeba hadi watu 15 kwenda Nairobi. Biashara kuna kupata na kukosa.
Mwanabodi, tutumie hekima na busara, kwa kuwa wa kweli khs Gharama za uendeshaji....Mm nliwahi kusafiri na basi toka dar hadi iringa tulikuwa abiria hatuzidi 20 kwenye basi la watu 60, so haya mambo ni ya kawaida kila kona.
Shida ya mleta mada yeye ni kuokoteza kila aina ya takataka na kuila
hamuwezi kuwa busy kila siku kuwafanya wenzenu ni second class,kuwanyanyasa ,kuwateka,kuwaua halfu wasifurahie vimeo vyenu vikifeli.Unajua ubishani huja mtu asipojua fikra za mwenzake.
Mimi najua biashara kwa shirika lililofufuliwa is next to national identity.
Sasa mtu asipojua hilo ni kila siku kuleta habar hasi.
What a sadist generation!
Ha ha ha, utakufa bure kwa kihoro.
Kuna failure zingine ni za kujitakia, shirika liaanzaje biashara bila business plan wanakurupuka kupeleka ndegee Entebe bila research kwa kutafuta kiki za kisiasa.
If you don't plan you are planning to fail.
Umeelewa au umejiandikia tuu ili uonekane na wewe uko on lineSiti ya mbele
" Serikali haipati hasara "
Hahahahaaa...... Kumbuka ile ni biashara, labda tukodishe kuepuka hasara.Hayo mabasi hayatuhusu maana hatukuingiza kodi zetu sisi tunaongelea hiyo ndege yetu iliyo tafuna kodi zetu kuinunua tena keeshiii
san tuuuu,cheerssssEndelea kufurahia tu. Hakuna anayekukataza.
Sikodishwe zimekua bajaj. Siyo rahisi hivyo.Ni bora tukaanza kufikiria jinsi ya kuzikodisha.
Bavicha mtakuja kuokota hadi mavi mle kwa sababu tu yanamkosoa Magu hakyamungu
Kwa sababu ya hiyo tweet?....
Naomba Boss mkubwa aiwajibishe ATCL management including its Board of Directors!!!!!!!!!!!!!!
Endelea tu. Hakuna anayekukataza.san tuuuu,cheerssss
Mm nliwahi kusafiri na basi toka dar hadi iringa tulikuwa abiria hatuzidi 20 kwenye basi la watu 60, so haya mambo ni ya kawaida kila kona.
Shida ya mleta mada yeye ni kuokoteza kila aina ya takataka na kuila