KAMA HILI LA MKUU WA MKOA MWANZA KWELI..TFF BODI YA LIGI MNAHITAJI MPELEKWE KWA MWAMPOSA MKAOMBEWEEE

KAMA HILI LA MKUU WA MKOA MWANZA KWELI..TFF BODI YA LIGI MNAHITAJI MPELEKWE KWA MWAMPOSA MKAOMBEWEEE

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Jana nimemsikia mkuu wangu kaka Yangu msemaji wangu wakimhoji kuhusu UWANJA

Simple akasema kaulizen tff waliopokea wale waliokuja kukagua wakatangaza kuufungia

Nirudi kwenye madaa HAPO juu
Nimemsikia mkuu WA MKOA MWANZA akilalamika UWANJA umefungiwa

Akaita viongozi WA UWANJA JE Kuna mtu amekuja kukagua huu UWANJA hapana

KUNA mtu amewajuxa HATA kwa simu wanakuja kukagua
Hapana

Meneja akaulizwa JE wamekwambia UWANJA unatakiwa kufanyiwa ukarabatibwapi kwa maandishi
Hapana

Hawa watu wamepata nguvu wapi kufungia UWANJA wetu

Alilalama mkuu WA MKOA

Sasa najiulizaaaaaaaaa

Uwanja WA mkapa umefungiwa

Msemajiw wetu ameulizwa akasema waulizen tff waliowapokea waliokuja kukagua

Kumbe principle Iko wazi wanatakiwa kutuma watu MWANZA wakakague WAANDIKE ripoti zao wapi pa kurekebisha
.narudia Tena kama meneja amemwambia kweli mkuu WA MKOA WA MWANZA kuhusu UWANJA WA kirumba hahaha mkaguxi


Hawa WAHUSIKA WANAHITAJI maombi maalum ya mwamposaa na kama possible tuwaombee kwenye huu mfungo wakabadilike

Tusali
Neema ya Bwana wetu.....
 
Mbona maeneo ya kufanyiwa marekesho yaliainishwa! Pitch imechakaa hasa eneo la golini na kukosekana kwa viti ndani ya vyumba vya kubadilishia nguo. Na ata mkuu wa mkoa mwenyewe alikiri ilo jana.
 
Back
Top Bottom