Kama hizi ni fashion basi vijana wengi wa sasa ni vichaa

Hapa ndiyo utaelewa sasa ni kwa nini waziri mkuu na mkuu wa mkoa wa Dar (Serikali kwa ujumla) wamepiga marufuku uvutaji wa shisha na madawa ya kulevya.
 
Hapa ndiyo utaelewa sasa ni kwa nini waziri mkuu na mkuu wa mkoa wa Dar (Serikali kwa ujumla) wamepiga marufuku uvutaji wa shisha na madawa ya kulevya.

Dah hatari sana
 
Afu unakuta na mtoto wa kiume anavaa bila aibu akipapaswa kalio wala hashituki anasema niongeze...serikali iangalie na suala la mavazi mana vijana wanayagombania kila kitu wanaiga hadi basi na sisi wafanyabiashara hatuwezi Acha kuwauzia mana tunataka hela
 
Hahaha
 
Dah!! Yani mpaka wanatia huruma.. kama hawana uwezo si wanunue hata za mtumba..
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…