Kama hujafanya hii katika ujana wako POLE sana

Kuna jamaa yangu anawatia shughuli sana hawa viumbe, hasa form four wanavokaribia kwenye paper, jamaa a nafundisha biology, anawaambia ana practical zao, ile watoto kumfuata fuata mwalimu tuoneshe ndio anawakamatia hapo
Duuh
 
Hizi ndio ngoma za utamaduni za siku hizi?
 


KINDLY NOTE:

Utamu wa hao viumbe ni directly proportional na Miaka Utakayoenda jela
Kutoka sakafu ya moyo wangu kabisa nawapa pole wale wote ambao kwa namna moja au nyingine hawakupata nafasi ya kusoma shule
Shule bana we acha tu
Shule sio masomo tu ya darasani ni zaidi ya unayoambiwa pole sana Mama kijana Baba babu shangazi nimeipenda hiyo picha
 
Hahaha
Sina mkuki miyeee.......
 
Nikiwaambia walimu tuongezewe mishahara mnabisha. Bado hawa wa huku chuo sasa ukute na bumu limekata.
 
Mmoja alie deshi mpaka chini kwa sasa ni Waziri wa JPM.
Afu mmoja ni wife
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…