Kama hujafanya hii katika ujana wako POLE sana

Hii imenikumbusha MZUKILA!!!!
Hapo disco ya Kilakala girls na Mzumbe boys [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Dah! Nimewala sana enzi zangu za o-olevel.
Hiyo inaitwa teachers allowance.
 
Kama ningekuwa mwalimu, sijui kama ningemaliza hata mwaka, huwa kuna viumbe watamu huko kiasi wana_freeze judgements zote
 
Daah nimekumbuka mbali.Sisi tulikuwa tunacheza Pat Shange na mwanamuziki wa UK Rick Astley wee
 
Ndg zangu naomba mniombee. Kwa sababu nimewaonea huruma wazazi wao mpaka nikasema, Laiti ingelikuwa ni hao tulionanihino huko Arusha. Wazazi wange faidi hata hiyo rambi. Halaf utegemee div. 4 hapo itatoka wapi hapo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…