The Only Kilo
JF-Expert Member
- Jul 16, 2010
- 352
- 87
kama unaoa upate sex tu lazima ndoa ikushinde.:sleepy:
Ngastuka, machale kundesa@2....
Hivi kama ulishazoea kutembeq na mikitu mitamu mitamu utaweza kweli kummvumilia mwenzi wako wa maishani.....yaani baba nanii na mama nanii wajao...utaweza nakuuliza wewe ambaye unampendaga yule nanii kwa sababu ana fupi kesho unamkuta baba nanii ana ndefu...... Na wewe nanii unayempendaga nanii kwa sababu ana anajua kushiriki 100% kesho anakuja mama nanii anakuachia ushiriki wewe tu maana yeye amechoka kimtindo.....
Tusidanganyane equation ya marriage iko hivi If SEX=NO or POOR then MARRIAGE = NO OR INCOMPLETE.kama unaoa upate sex tu lazima ndoa ikushinde.:sleepy: