Kama hujapenda wafanyakazi kuongezewa mishahara nenda kule ukazikwe nae

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,781
Reaction score
6,139
Pamoja na wafanyakazi kula msoto kwa miaka 7...
Narudia Tena miaka SABA! Bado Kuna watu wamenuna mama kutangaza JAMBO lake kwa wafanyakazi...
Basi kama Kuna mtu amekasirika aende kule lile kaburi Lina nafasi tu mnaweza kutosha wote...
asante mama.
 
Kwani mmeongezewa mshahara nyie wafanyakazi aka maskini wa nchi
 
Pamoja na wafanyakazi kula msoto kwa miaka 7...
Narudia Tena miaka SABA! Bado Kuna watu wamenuna mama kutangaza JAMBO lake kwa wafanyakazi...
Basi kama Kuna mtu amekasirika aende kule lile kaburi Lina nafasi tu mnaweza kutosha wote...
asante mama.
Tucta na wafanyakazi wote wapuuzi eti kauli mbiu ni tutakuvusha 2025' sasa nuongeza ya mishahara ya nini watu ana uhakika atavuka 2025
 
Pamoja na wafanyakazi kula msoto kwa miaka 7...
Narudia Tena miaka SABA! Bado Kuna watu wamenuna mama kutangaza JAMBO lake kwa wafanyakazi...
Basi kama Kuna mtu amekasirika aende kule lile kaburi Lina nafasi tu mnaweza kutosha wote...
asante mama.
Tucta na wafanyakazi wote wapuuzi eti kauli mbiu ni tutakuvusha 2025' sasa nuongeza ya mishahara ya nini watu ana uhakika atavuka 20
 
Pamoja na wafanyakazi kula msoto kwa miaka 7...
Narudia Tena miaka SABA! Bado Kuna watu wamenuna mama kutangaza JAMBO lake kwa wafanyakazi...
Basi kama Kuna mtu amekasirika aende kule lile kaburi Lina nafasi tu mnaweza kutosha wote...
asante mama.
Kamwambie baba yako F**k you!
 
Hawa watu wana kiburi kwakuwa hawahitaji kura zenu kubakia madarakani.
 
Hifadhi hii post...tarehe 25 Julai mtakuja hapa mnatoa machozi.
Unajifariji au? 👇

Screenshot_20220501-163636.png

Screenshot_20220501-163535.png
 
Pamoja na wafanyakazi kula msoto kwa miaka 7...
Narudia Tena miaka SABA! Bado Kuna watu wamenuna mama kutangaza JAMBO lake kwa wafanyakazi...
Basi kama Kuna mtu amekasirika aende kule lile kaburi Lina nafasi tu mnaweza kutosha wote...
asante mama.
Tena wakamlalie kabisa huko kwenye kaburi lake
 
Pamoja na wafanyakazi kula msoto kwa miaka 7...
Narudia Tena miaka SABA! Bado Kuna watu wamenuna mama kutangaza JAMBO lake kwa wafanyakazi...
Basi kama Kuna mtu amekasirika aende kule lile kaburi Lina nafasi tu mnaweza kutosha wote...
asante mama.
Kaongeza kiasi gani?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na wafanyakazi kula msoto kwa miaka 7...
Narudia Tena miaka SABA! Bado Kuna watu wamenuna mama kutangaza JAMBO lake kwa wafanyakazi...
Basi kama Kuna mtu amekasirika aende kule lile kaburi Lina nafasi tu mnaweza kutosha wote...
asante mama.
Kwani Nani kakuambia Magufuli hakuongega Mshahara. !?
 
Maskini wa nchi ni Wewe unaekuja Hospitalini huku Unaumwa Mfanyakazi anakuamrisha uvue nguo zote akukague Ugonjwa wako... nyang'au Mkubwa wewe
Kuna Watu Wana Roho mbaya Sana imewauma
 
Back
Top Bottom