[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama aliyeanzisha uzi ni dume basi dume uchwara
Hiyo avatar yako mi hoi kila nikiiona.kama huna pesa wewe ni mchaga uchwara.
kama unategemea mvua wewe ni mkulima uchwara.
kama huna begi lenye picha ya Bob Marley wewe ni msukuma uchwara.
kama unalipa kodi zote wewe ni mfanyabiashara uchwara.
kama huna koti la suti na Tai wewe ni mnyakyusa uchwara.
kama hujui kiingereza wewe ni mhaya uchwara.
kama hujui kukata kiuno wewe ni mzaramo uchwara.
copy and paste.
weka uchwara wengine.
Kama aliyeanzisha uzi ni dume basi dume uchwara