Kama hujawahi kushinda bahati nasibu huwezi kupata UKIMWI

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,610
UKIMWI ni kama bahati nasibu nyingine, yaani "kadri unavyoshiriki ndivyo unajiongezea nafasi ya kujishindia"

Kwa maana ya kuwa kama wewe ni mtu mwenye bahati sana, yaani ukishiriki bahati nasibu tu unashinda basi ni rahisi sana kupata UKIMWI ila kama wewe una gundu huwa haushindi kabisa kwenye bahati nasibu basi huwezi kupata UKIMWI.
 
Uuuuwiiiii,
Hapo siyo kweli;

Kuna matajiri wa mkoa fulani huko nyanda za juu wao waliamini
kuwa ukido hata na mwanamke mwenye virusi unawahi
kwenda kunawa saaaana eti virusi vinaondoka;

Matajiri wote waliisha;
 
Mwingine mara yake ya kwanza kufanya na mtu huyo huyo huyo anamuambukiza Ukimwi.# Sio kwel kuwa ni kama bahat nasibu#
 
sasa sisi tusio cheza bahati nasibu ....?
 
Kama inaendana ila don't try at home. Ushindi bahati nasibu na ngoma kama kawa ukigusa tu wamo!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…