GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Halafu mnaosema kuwa sijui ukiona Paka na Paka 'Wananyanduana" utakufa au utapatwa na Misiba Mimi mbona nina bahati ya Kushuhudia huo 'Unyanduano' Wao ila sijafa na wala sijapokea Taarifa yoyote ile ya Msiba?
Na ninachokipenda hasa ( zaidi ) katika "Mnyanduano' wa Paka na Paka ni pale Paka Jike anavyoiseti naniliu yake na Paka Dume anavyoinyatia na kuiweka kwa Ustadi Uliotukuka kabisa.
Kuwaangalia hawa ni Raha sana tu.