Kama hujawahi penda basi hujawahi kuumia

Joined
Mar 15, 2018
Posts
26
Reaction score
36
Watu wengi ambao hatujawahi kupenda au kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi hatujawahi kuumia tunaishi kwa furaha na amani ya moyo, hivi ni kweli kama hujawah penda huwezi kuumia kwenye mapenzi ?
 
Ngoja waje wanaopenda penda hovyo hovyo
 
Brother kinachoumiza watu sio upendo , ni kuamini kuwa upo mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Watu wengi ambao hatujawahi kupenda au kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi hatujawahi kuumia tunaishi kwa furaha na amani ya moyo, hivi ni kweli kama hujawah penda huwezi kuumia kwenye mapenzi ?
Tatizo huanzia pale MTU unapenda kisha unaingia gharama nyingi kisha mnaachana maumivu yake c ya Nchi hii , ukianza kufikiria mtonyo wako akili inavurugika ,
Ushauri: Wanaume tusipende kugharamia Sana mwanamke ambaye hujamuoa

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
[emoji848][emoji848][emoji848]
Hongera kwa kujifariji baada ya kupona donda la maumivu makali
 
Tatizo huanzia pale MTU unapenda kisha unaingia gharama nyingi kisha mnaachana maumivu yake c ya Nchi hii , ukianza kufikiria mtonyo wako akili inavurugika ,
Ushauri: Wanaume tusipende kugharamia Sana mwanamke ambaye hujamuoa

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Ujengewe mnara
 
Back
Top Bottom