D deblabant JF-Expert Member Joined Oct 7, 2022 Posts 2,650 Reaction score 4,065 Sep 9, 2024 #1 Nimemsikia mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Hingera akiwa anaongea leo kuhusu vibali vya kuuza mahindi nje ya nchi nikitaka nimeona aibu mimi. Amesema eti hivyo vibali ni Null and valid" badala ya kusem Null and void.
Nimemsikia mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Hingera akiwa anaongea leo kuhusu vibali vya kuuza mahindi nje ya nchi nikitaka nimeona aibu mimi. Amesema eti hivyo vibali ni Null and valid" badala ya kusem Null and void.