Kama hukuwahi kuangalia hizi movie...

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
KAMA HUKUWAI KUANGALIA HIZI MOVIE Tia mgomo uzaliwe upya.

1: TITANIC.

2: KING KONG

3: ANACONDA.

4: JUMONG.

5: AMERICAN NINJA

6: DELTA FORCE

7: TARZAN.

8: DOUBLE IMPACT.

9: TERMINATOR 10:

AIR FORCE

11: KICK BOXER.

12: COBRA.

13: GOD MUST BE CRAZY.

14: ABOVE THE LAW

15: APOCALYPTO.

16: SPARTACUS

17: MKANDA WA YESU.

18: SOLDIER BOYS

19: TAI CHII.

20: SARAFINA.

21: CINDERELLA

22: JANEE by anord.

23: KUCHI KUCHI.

24: LUCKY 7.

25: COMMANDO KIPENSI.

26: FAST & FURIOUS

27: DRAGON.

28: SHUMILETA.

29: NSYUKA.

30: AKI NA UKWA [emoji3][emoji3]

Endelezea....
 
Dhoom, Irish, Jana rush man ,mohra ,cyborg
 
Muvi kali zaidi ni ya mzee magu akipiga pushapu
 
Deadly prey
 

Attachments

  • tapatalk_1483295211055.jpeg
    86.4 KB · Views: 156
girl friend TID
qayamat se qayamat tak AAMIR KAHN
JAANWAR
AKSHAY Kumar
 
Mkanda wa Yesu

√√Daaa..! huu mkanda yani nililia nilivyoangalia sijui Ina nn hii sinema, wakati huwa naangaliaaga movie zenye huzuni lakin silii
Nakumbuka Miaka ya 99' kuelekea 2000 nilipata kuingia katika kanisa flani(jina kapuni) aisee waaumini karibia wote walitoa machozi mazito mazito-Filamu ya Yesu kristo.
Lakini saizi utawapata watu wachache watakao mwaga machozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…