kama huna dhambi fungua hapa

yaser

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
1,361
Reaction score
299
sasa ww unafungua hapa ndio kusema huna dhambi wakati unaonekana kila baya kwako ndio ikulu.fuata maelekezo bana
 
ngoja nisome salio langu kwanza la dhambi nijue limebaki kias gan,then ntarudi kufungua hii thread
 
Ingekuwa ukifanya dhambi unatoboka, nadhan mleta maada ungebakia chandarua.
 
Wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa mungu.. Verse from the bible.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…