rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Aisee ni balaa namba tatu zote nilizoomba nimepiga hesabu nikisema niwape hela walizoniomba ni kama Laki Moja inapukutikaa chap[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani hakuna cha mke wa mtu wala nini wote wanalia njaaaa mara sijui vikoba sijui naumwaa khaa acha nibaki njia kuu kwa kweli.
Ukiona mwanaume malaya jua ana Helaaa. Ukiona mwanaume anajidai katulia na mmoja huyo Masikini mwenzetu yaani.
Ukiona mwanaume malaya jua ana Helaaa. Ukiona mwanaume anajidai katulia na mmoja huyo Masikini mwenzetu yaani.