Kama huna hela usiombe namba

Spot on mate! Yaani ukifanya cost benefit analysis ni bora uende na huu mpango. Tena bwana its stress free. Huna hela unatulia zakko na mpezi wako revola mambo yameisha. Ukizipata huyo anataffuta limsambwanda la maana unajienjoy
 
Mwali: makaveli
Maka: ooh!!
Mwali: mambo
Maka: safi tu
Mwali: nikuombe kitu
Maka: no, usiniombe
Mwali: jamani, kwanini?
Maka: nahofia, utaomba kitu na mie sina
Mwali: usijali, kama huna unasema sina
Maka: haya sawa
Mwali: nina shida naomba laki na nusu
Maka: sina
Mwali: haya sawa

[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…