Kama huna meno usifungue hii

Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
3,988
Reaction score
1,308
Jamaa mmoja aliiba TV, akaibeba na kisha akaanza kukimbia nayo,kumbe kwenye ile nyumba aliyoingia kulikua kuna mgonjwa wa akili, akaanza kumkimbiza yule mwizi. Kila mwizi akiongeza spidi na mwenzie huyo hapa kuona hivyo mwizi ikabidi asimame asalimu amri. Yule mgonjwa wa akili akamsogelea na kumwambia daaah umesahau rimoti.ji0ni njema.
 
Ila hapa si mahala pa Nafasi za Kazi na Tenda????? LAKINI INACHEKESHA INHI INHI INHI INHI INHI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…