Kama hutumii dodoki kukoga uchafu bado unatembea nao

Huwa inasababishwa na nini?

Nishabadilisha dodoki aina tatu tofauti, kila nikizitumia napotoka bafuni mwili unawasha hatari.

Hadi nikaacha kutumia.
Tumia kitambaa angalau ila kujipaka sabuni na kujimwagia maji hujatakata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…