The622
Member
- Mar 5, 2023
- 55
- 111
Wakuu kwema,
Ni kawaida kwenye biashara kujieleza juu ya nini unafanya au huduma gani unatoa,Lakini si Kila mmoja anaweza kufanya hivyo kiasi akamshawishi mteja kununua kwake.
Tatizo hili si la kutisha,Lakini linapozidi sana mwisho wake uwa si mzuri kwa mtu aliye makini na uwekezaji wa mtaji wa fedha na wakati mwingine hata muda wake.
Moja kati ya vinavyosumbua wengi kujieleza ni kukosa UJASIRI,Inaezekana kabisa umejiandaa kutoa maelezo kwa mtu kwa njia ya simu au ana kwa ana Ila siku inapofika yale yote uliyopanga ni kama yanayeyuka kabisa na hujui uanzie wapi.
Kuendekeza hali hii ,kumewafanya wengi wetu kukosa mtaji wa biashara kwa kutowafuata wale wanaoweza kuwasaidia na kujielezea,au wateja wakiwemo ndugu,jamaa na Marafiki wa karibu ambao wangeweza kuwatumia kama wateja wa kuanzia.
Cha muhimu ni kutafuta mbinu na msaada wa mtu anaeweza kukusaidia kukabiliana na hofu uliyoijenga.
Kwa wewe unayetamani kupata mtu wa kukufundisha ujasiri wa kujieleza au kukusikiliza na kuwa mshauri na mwalimu wako ,Niko kwa ajili yako.
Kuna mbinu zaidi ya kumi ambazo nimekuwa nikitumia kwa wale ambao wanatatizo kama lako na kwa hakika matokeo yamekuwa ni ya kuridhisha.
Kama mtu anaweza kujifunza tabia mbaya,basi hata nawe unaweza kujikwamua kwenye tatizo hili.
Karibu sana.