Kama huyu ndo wakuoa!! Nishaurini jamani maana niko njia panda kwa kweli...

Kama naanza kutokuelewana sasa basi mpaka kwenye watoto mtawachanganya na dini baba anataka hivi mama anataka vile,na wewe ukiwa kama mume huelekei kama una maamuzi kuliko mwanamke sasa bora uepushe shari mapema tafuta mtakae wezana na atakae kuenzi wewe kama mume.....
 

Mpendwa ktk Bwana ubarikiwe sana, unabahati ya mtende kumea jangwani na unazaa paka watu wanajiuliza maji yako wapi? unabahati ya ngamia kuishi jangwani watu wanajiuliza anakula nn?
ndugu yangu moyo unaniuma kama kweli unaamua kung'ang'ania moyo wako na wala hutaki kukubaliana na mkeo, amini usuiamini kristo Mwana wa mungu Aliye hai hakuleta din bali anasema KILA ANIAMINIE HATAHUKUMIWA KAMWE BALI AMEPITA TOKA HUKUMUNI.
HUKUMUNI, kwani Anglican ni mlango wa kuingia Mbinguni? au Ass. of God ni nia ya mbinguni? je hujui kuwa biblia ndiyo taa pekee alopewa mwanadamu kumjua Mungu? kwanini usikubaliane na Mkeo mtarajiwa anavyokusihi siku zote? je, kama angebadilika nakwenda viwanja ungemuacha? je angamua kuacha kuasli ungemuacha? Mbona basi ameamua kuuacha moyo wake kwa mungu wake kupitia kivuli cha Ass. of god, unashindwa nn kujiunga nae? lait ingekuwa mm ningepiga mbiu kwa furaha, amini mke wangu ni muislam mm mkristo namuambia abadilike kuwa nami hataki lkn sijamuacha nampenda sn.
Amua leo utamtumikia nani, kama baali ni mungu sawa na kama Mungu wa israel ndiye basi mfateni yeye.
Be Blesed, kubali uokoke kama mkeo ndiyo njia pekee ya kumuona Mungu aliye hai, neno linasema kama msipozaliwa mara yapili hamtauona uzima wa milele, na pia linasema kama mtu asipozaliwa kwa maji na roho hatauona uzima wa milele,
kama unabisha mke utakae muoa kama si huyu utapata taabu ambayo hutoamini na mkeo mtarajiwa atakuwa tawatayari ameshaolewa.
 
Wana jf nashukuruni sana kwa mchango wenu na sasa nimepokea mashauri yenu yote sasa kazi ni kwangu kufanyia na kuamua. Asanteni sana sana kwa ushirikiano huu. Be blessed all who contributed in advising me.
 

TATIZO LAKO UNAPENDA DHEHEBU na sio mtu,tatizo lipo wapi?huko kote mbona YESU anayetajwa ni yulyule,kumbika unaoa mtu na wala sio dhehebu.
 
Fuata moyo wako unachosema, usijilazimishe kufanya kitu, mweleze tu kuwa hupendi anachofanya na umpe muda wa kujirekebisha, pia jiangalie na urekebishe mapungufu yako coz nobody is perfect, ukiwa hali hiyo bado ipo PIGA CHINI sababu marriage is a sacred institution na hutakiwi kuiingia kwa kujaribu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…