Kama huyu ( pichani) ndiye Ebitoke, nakubaliana na wanaosema haendani na Ben pol ( mbovu)

Kama huyu ( pichani) ndiye Ebitoke, nakubaliana na wanaosema haendani na Ben pol ( mbovu)

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Nilipoona watu wanampondea demu aliyeomba kutembea na Ben pol ilibidi na Mimi nijiridhishe kuutafuta ukweli na bahati nzuri nimemuona Live, kwenye video na picha pia.
Hata Mimi nahitimisha kwa kusema kama Ebitoke ndiye huyu basi wanaosema ni mbovu wako sahihi
Nawasilisha
index.jpeg
images.jpeg
index(2).jpeg
 
Nilipoona watu wanampondea demu aliyeomba kutembea na Ben pol ilibidi na Mimi nijiridhishe kuutafuta ukweli na bahati nzuri nimemuona Live, kwenye video na picha pia.
Hata Mimi nahitimisha kwa kusema kama Ebitoke ndiye huyu basi wanaosema ni mbovu wako sahihi
Nawasilisha
View attachment 537332 View attachment 537334 View attachment 537333
ssasa kwa taarifa yako, wanawake wooote unaowaona huko mjini, wako hivyohivyo wasipopata make up. hebu jaribu kuimagine, irene uwoya au wolper wangekuwa wanaishi vijijini, hawavai viatu, hawapaki make up wala wanja, wanavaa masambulasambua etc, ukawaweka pamoja na ebitoke, nani angekuvutia kati yao na huyo binti? huyo binti akipewa matunzo mazuri ni mwanamke mzuri sana na anayo hata haki ya kuringa. labda kama huwajui wanawake.
 
sifa ya mwanamke unaijua?
 
Mwanamke matunzo. Oprah Winfrey kapigwa soap soap katokea bomba, itakuwa huyo?

Au ulitaka mweupekama Wolper ndiyo uone mzuri?

Uzuri upo machoni pa mtazamaji.
 
ila huyu binti alinifurahisha kitu kimoja tu aliposema yeye ni "siled" yaani hajakatwa utepe. hahaha,tangu lini binti wa kihaya mwenye umri kama huo, ameishi wee kwenye migomba kule, maisha yakampiga akaanza safari kuja bongo darisalama, akaenda sijui bagamoyo kwenye sanaa etc afu awe siled? hahahaha. halafu masilidi huwa hawajisemi.

kuna binti mmoja alikuwa anafanya mazoezi ya kazi ofisini kwangu, yeye kweli ni siled, mwanzoni alikuwa hataki kujulikana bikra kwasababu ataonekana hajui mapenzi, nikimwambia kuhusu hilo anasema kujua mapenzi hata kwenye mitandao tu nimeangalia etc. hadi nilipokuja kuthibitisha.
 
Back
Top Bottom