ssasa kwa taarifa yako, wanawake wooote unaowaona huko mjini, wako hivyohivyo wasipopata make up. hebu jaribu kuimagine, irene uwoya au wolper wangekuwa wanaishi vijijini, hawavai viatu, hawapaki make up wala wanja, wanavaa masambulasambua etc, ukawaweka pamoja na ebitoke, nani angekuvutia kati yao na huyo binti? huyo binti akipewa matunzo mazuri ni mwanamke mzuri sana na anayo hata haki ya kuringa. labda kama huwajui wanawake.Nilipoona watu wanampondea demu aliyeomba kutembea na Ben pol ilibidi na Mimi nijiridhishe kuutafuta ukweli na bahati nzuri nimemuona Live, kwenye video na picha pia.
Hata Mimi nahitimisha kwa kusema kama Ebitoke ndiye huyu basi wanaosema ni mbovu wako sahihi
Nawasilisha
View attachment 537332 View attachment 537334 View attachment 537333
ssasa kwa taarifa yako, wanawake wooote unaowaona huko mjini, wako hivyohivyo wasipopata make up. hebu jaribu kuimagine, irene uwoya au wolper wangekuwa wanaishi vijijini, hawavai viatu, hawapaki make up wala wanja, wanavaa masambulasambua etc, ukawaweka pamoja na ebitoke, nani angekuvutia kati yao na huyo binti? huyo binti akipewa matunzo mazuri ni mwanamke mzuri sana na anayo hata haki ya kuringa. labda kama huwajui wanawake.
iweke hapo.sifa ya mwanamke unaijua?
mwanangu mbona ume muendama sana ben pol na ebi toke
una interest gan nao?
Mbona yuko vizuri tu huyo binti.
Kama huu uzi umeanzishwa na mwanaume basi uwanaume wake ni wakutiliwa mashakaNilipoona watu wanampondea demu aliyeomba kutembea na Ben pol ilibidi na Mimi nijiridhishe kuutafuta ukweli na bahati nzuri nimemuona Live, kwenye video na picha pia.
Hata Mimi nahitimisha kwa kusema kama Ebitoke ndiye huyu basi wanaosema ni mbovu wako sahihi
Nawasilisha
View attachment 537332 View attachment 537334 View attachment 537333
Kama huu uzi umeanzishwa na mwanaume basi uwanaume wake ni wakutiliwa mashaka