Kama ikibainika ni muathirika familia 12 kulia na kusaga meno

ndio maana kuna magazet mengine ya siasa pia,magazet ya udaku yapo dunia nzima na ayakwepek,na ndio yanayoongozwa kwa kuuzwa

Namshangaa hata mie sijui anauelewa wa haya mambo kwa upeo gani au ndiyo kaamua kutohusisha ulimi na ubongo wake vizuri maana naamini angeongeza kupambanua kidogo angepata jibu
 
Huu ni unyanyapaa..na huyu mhariri na gazeti lake hajui alitendalo anachoangalia ni pesa tu..Kwa hiyo mnamaanisha walioathirika kwa sasa familia zao zinalia na kusaga meno ? Waathirika wana haki ya kutoonyeshwa hisia zozote za kubaguliwa bali kuishi kama mwana jamii yeyote mwenye afya njema, mwenye kisukari, presha, kifafa au ugonjwa mwingine wowote... ACHENI UNYANYAPAA....
 
Akibainika muathirika wa jambo gani? Maana kwa utunzi wa namna hiyo wa Kichwa cha habari nina wasiwasi imekuzwa tu ili watu wanunue gazeti....si ajabu ndani ukakuta wanaelezea uathirika hata wa mafuriko.

Kwa hiyo huko chit chat kina bishanga , nicas mtein baba v, madamme , na secretary ndio wanakufundisha kuwa ukiendekeza zinaa unakuwa mwathirika wa mafuriko

Akili za mbayuwayu..
Umetisha mkuu
Arusha oyeeeee
Wasalimie mabillionaire
 
Hahaha...soma posts zangu zote vizuri kwenye huu uzi.
Halafu pia fuatilia ushiriki wangu ndani ya JF, nadhani utagundua watu8 ni aina gani ya mtu.
Hizi ID na Avatar zetu feki bado hazibadili uhalisia wa mioyo yetu, ya CC yaache CC mkuu kila siku huwa nakueleza hivyo.


Kwa hiyo huko chit chat kina bishanga , nicas mtein baba v, madamme , na secretary ndio wanakufundisha kuwa ukiendekeza zinaa unakuwa mwathirika wa mafuriko

Akili za mbayuwayu..
Umetisha mkuu
Arusha oyeeeee
Wasalimie mabillionaire
 
Kuna ile clip ya kumtukana diamond mdomo mkubwa kama .... We unataka kumuoa Wema die tuka..... Wapi wakati we unajua Wema ni demu wa..... Dahhh ile clip mwenye nayo antumie kwa SMS
 
Kwa hiyo huko chit chat kina bishanga , nicas mtein baba v, madamme , na secretary ndio wanakufundisha kuwa ukiendekeza zinaa unakuwa mwathirika wa mafuriko

Akili za mbayuwayu..
Umetisha mkuu
Arusha oyeeeee
Wasalimie mabillionaire

Koma we.
Madame ndo demu wako.
Sura kama kwapa la beberu.
 
Koma we.
Madame ndo demu wako.
Sura kama kwapa la beberu.

hivi wewe unaitwa madamme au unaitwa madame b?
i dont think kama nimeandika madame b hapa nimeandika madamme far away from madame b

shule zenu hizi za HAKI ELIMU hizi ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…