Kama ikiwa hivyo basi Wema Sepetu atavunja rekodi Tanzania

Kama ikiwa hivyo basi Wema Sepetu atavunja rekodi Tanzania

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
498
ImageUploadedByJamiiForums1413010283.381875.jpg

Kumekuwa na tetesi kuhusu muigizaji na mwanamitindo Wema Sepetu, kutaka kufunga ndoa na mwanamuziki nguli wa bongo fleva Diamond, kwa mujibu wa mama yake Wema amefunguka na kusema kama Diamond atataka kumwoa mwanawe itamghalimu kutoa tsh milion 100 kama mahali ya mwanawe uyo, kama alivyohojiwa na blog moja hapa Dar.

Wachunguzi wa mambo ya ndoa tunaona kama Wema Sepetu atatolewa pesa hizo na Diamond kama mahali basi atavunja rekodi kuwa mwanamke pekee Tanzania kuolewa kwa pesa nyingi ,lakini we ma mwenyewe amedai yuko tayari kuolewa na Diamond hata bure.
 
Mama amemgeuza binti yake kuwa kitega uchumi?
 
Mama anataka kupiga pesa kupitia mwanae
 
Mimi mwenyewe nimetoa mahari ng'ombe 500,Mbuzi 1000,Kondoo 1000,Majogoo 100,000,000,Nguruwe 5,000 haya ebu niambie Wema ataweza kuvunja rekodi yangu.

View attachment 192221 kumekuwa na tetesi kuhusu muigizaji na mwanamitindo wema sepetu, kutaka kufunga ndoa na mwanamuziki nguli wa bongo fleva diamond, kwa mujibu wa mama yake wema amefunguka na kusema kama diamond atataka kumwoa mwanawe itamghalimu kutoa tsh milion100 kama mahali ya mwanawe uyo, kama alivyohojiwa na blog moja hapa dar,wachunguzi wa mambo ya ndoa tunaona kama wema sepetu atatolewa pesa hizo na diamond kama mahali basi atavunja rekodi kuwa mwanamke pekee tanzania kuolewa kwa pesa nyingi ,lakini we ma mwenyewe amedai yuko tayali kuolewa na diamond hata bure
 
Kwani mleta mada we unajua mahari za watu wengine mpaka useme ya Wema itavunja rekodi?
kwa jinsi ilivyo hapa bongo amna mwanamke atakae weza kuolewa kwa cash iyo,iyo ni cash ndefuuu mkuu , hata mama wema nae sijui kama alikuwa sirious na alilokuwa anaongea milion mia si mchezo madawati kadhaa hapo
 
Diamond ataitoa kwa lengo la kuweka rekodi sawa.
chezea jeuri ya pesa.
 
yap kwa waislam suala la mahali c tatzo kwani msichna anaweza akamwambia mchumba ake amsomee aya fulani za QUR-AN ikawa ndo mahali...ushauri wa bure kwa wema na diamond wangetulia waoane waache skendi magazetini sio dili...
 
Yeah, she told me I'm the one, that's when I only hit it once,Try a new thing
And let's spark a new flame!! #Mapenzi shida pesa ndio kabisa#
 
Back
Top Bottom