tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 498
View attachment 192221 kumekuwa na tetesi kuhusu muigizaji na mwanamitindo wema sepetu, kutaka kufunga ndoa na mwanamuziki nguli wa bongo fleva diamond, kwa mujibu wa mama yake wema amefunguka na kusema kama diamond atataka kumwoa mwanawe itamghalimu kutoa tsh milion100 kama mahali ya mwanawe uyo, kama alivyohojiwa na blog moja hapa dar,wachunguzi wa mambo ya ndoa tunaona kama wema sepetu atatolewa pesa hizo na diamond kama mahali basi atavunja rekodi kuwa mwanamke pekee tanzania kuolewa kwa pesa nyingi ,lakini we ma mwenyewe amedai yuko tayali kuolewa na diamond hata bure
kwa jinsi ilivyo hapa bongo amna mwanamke atakae weza kuolewa kwa cash iyo,iyo ni cash ndefuuu mkuu , hata mama wema nae sijui kama alikuwa sirious na alilokuwa anaongea milion mia si mchezo madawati kadhaa hapoKwani mleta mada we unajua mahari za watu wengine mpaka useme ya Wema itavunja rekodi?
aiseeeee
umeona eeeee kawazid dau mpaka akina mangi!!!
Kama mtu anatembelea gari ya milioni 300 atashindwa kulipa mahari ya milioni 100?Kwa kutoa millioni 100 ananunua nini?
Raha ya kuzaha
Mama amemgeuza binti yake kuwa kitega uchumi?