Kama ikiwa hivyo basi Wema Sepetu atavunja rekodi Tanzania

mbona iyo papuchi kaila sana,mi nadhani hawa wanataka waweke rekodi kuwa hamna mwanamke aliolewa kwa pesa nyingi kama huyu toka uhuru

Sema za wengine hazitangazwii waarabu wanatolewa mahali kubwa sanaa
 

Pole binam fanya mautundu ikubaliii
 
Ndinga obsolete kisha unalipa mkwanja wote huo? Siku mbili tatu, oh gear box, hujaisoma number, mashine ime-knock! tusitaniane aisee...
 
Haha,wanawake kweli bado mambumbumbu,hivi nyie shule zinawasaidia kweli!,hivi si ndo nyie mnasemaga ati mahali ni kama kuwa nunua sasa huyu mama Dimond sasa ndo kaamua kumnadi mwanae kuwa atamnunua Wema kwa Mil.100!,dah,hii ni hatari,na siku flani nae yule Diva sijui Loveness love eti na minywele yake ya maiti anataka kununuliwa kwa mil.500!,khaa,hivi nyie nani kawaroga!,sasa ngoja niwaambie kitu,wanaume wengi wanajua kabisa nini nyie mnakitaka kutoka kwao,ni pesa si kingine unless akuchunguze sana akaridhika,sasa wewe unaetaka kuolewa kwa mapesa mengi huwa unajiuliza ni exchange ya aina gani unaifanya?,beuty for money!,sasa sisi wanaume tunajua after several years uzuri wako utaanza kupotea akati pesa zetu zitakua zinaongezeka na we sio source ya hiyo increment!,je,utategemea mumeo ataendelea kukubali kufanya exchange unayofanya nae?,nope,lazima tu atakutafutia wenzako walio wazuri kwa kipindi hicho ambacho we makunyanzi yamekujaa kila sehemu!,na mavipodozi mnayoytumia dah,nawaonea huruma!,muogope sana mtu anae take advantage of your poverty na kuamua kukutumia atakavyo!,ni hatari!
 
Uwiii amtoe bure fasta, maana domo akighairi hakuna atakae mtaka huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…