KAMA IKIWEZEKANA KIKOMBE HIKI KINIPITE NA KAMA N MAPENZI YAKO..BASI LITIMIE..MASHABIKI WA SIMBA NJOO MBELE....NABII SUGUYE

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
BABA AMENIFURAHISHA SANA HAHAHAAAAA

BAADA YA KUMALIXA MAOMBI

AKASEMA JAMANI SI MNAJUA HATA YESU ALISEMA KAMA IKIWEZEKANA KIKOMBE HIKI KINIPITE KAMA N MAPENZI YAKO BASI YATIMIE

HAHAHAAAA WALIOVAA JEZI ZA SIMBA NJOON MBELEEE HARAKA TUWAOMBEEEEEE

WAKAENDA WAWILIIIIIIIIII

HAHAAAHAHAHAAAA YAAAN MSUMARI MPAKA IBADANI HAMTOKIII

ALL D BEST BERKANE
 
Tangu kocha wa Simba aliposema Berkane watajuta kukosa magoli matatu ndipo nilipo a mini awa watu wamechanganyikiwa.
 
Nilikushauri ujifunze kusoma na kuandika
 
Lazima ufungwe kama jamaa yako "the storm is over"
 
Naona unawashwawashwa mwiko bado umengangania nyuma
 
Ingekuwa wewe ni kocha ungesema nini?
Mpongeze mwenzako na kurekebisha makosa katika timu yako.
Kusema umefungwa machache ni Kiburi na Un professional kwakua Mgeni anaweza kuja kwako na aka kufunga tena apoapo kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…