Kama ilikuwa humjui huyu hapa Msemaji wa CAF

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Ahmed Ally wa Simba amekuwa akijiita Semaji la CAF. Taarifa hizo siyo za kweli, pichani chini Veron Mosengo Omba ndiye msemaji wa shirikisho la soka barani Africa CAF, Kwa Mujibu wa katiba ya shirikisho hilo Katibu mkuu yaani General Secretary ndiye msemaji wa taasisi

20240114_172644.jpg

Pia nimekuta pahala jezi zimeandikwa Simba bingwa wa Mapinduzi 2023/24 Taarifa hizo pia siyo za kweli.Bingwa wa Mapinduzi ni Mlandege
 
Hee ila hivi mnatumia akili kweli?? Jamani acheni kujiaibisha basi...Ahmed anatania so vinawauma kweli? So anavyosema semaji la FIFA so mnaona ni kweli ni msemaji wa FIFA? Haiingii akilini walai...mbona tumekosa akili japo ya kureason a simple issue....
Au na ww unatania??
 
View attachment 2872496
Pia nimekuta pahala jezi zimeandikwa Simba bingwa wa Mapinduzi 2023/24 Taarifa hizo pia siyo za kweli.Bingwa wa Mapinduzi ni Mlandege
Kwa hiyo ukawa unataka hadi kulia yeye kujiita semaji la CAF?
 
Hee ila hivi mnatumia akili kweli?? Jamani acheni kujiaibisha basi...Ahmed anatania so vinawauma kweli? So anavyosema semaji la FIFA so mnaona ni kweli ni msemaji wa FIFA? Haiingii akilini walai...mbona tumekosa akili japo ya kureason a simple issue....
Au na ww unatania??
Jamaa lengo ni kuwakera, naona umejaa kwenye mfumo wake 😅
 
Asante kwa Taarifa Mkuu.

AHMED NI SEMAJI LA SIMBA NA SIO VYENGINEVYO.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Hee ila hivi mnatumia akili kweli?? Jamani acheni kujiaibisha basi...Ahmed anatania so vinawauma kweli? So anavyosema semaji la FIFA so mnaona ni kweli ni msemaji wa FIFA? Haiingii akilini walai...mbona tumekosa akili japo ya kureason a simple issue....
Au na ww unatania??
Ni matokeo ya kuwa serious sana na maisha.
 
Hee ila hivi mnatumia akili kweli?? Jamani acheni kujiaibisha basi...Ahmed anatania so vinawauma kweli? So anavyosema semaji la FIFA so mnaona ni kweli ni msemaji wa FIFA? Haiingii akilini walai...mbona tumekosa akili japo ya kureason a simple issue....
Au na ww unatania??
Kwa Ahmed Ally umeona utani ila kwa huyu jamaa umeshindwa kuuona utani
 
Na jamaa anavyo ongea kama hataki huenda kuna watu hawapendi akijiita hvo
 
Hee ila hivi mnatumia akili kweli?? Jamani acheni kujiaibisha basi...Ahmed anatania so vinawauma kweli? So anavyosema semaji la FIFA so mnaona ni kweli ni msemaji wa FIFA? Haiingii akilini walai...mbona tumekosa akili japo ya kureason a simple issue....
Au na ww unatania??
sio mbaya sometimes kuweka mambo sawa..mji una wajinga wengi tu,pengine wapo lukuki wanaoamini Ahmed ni semaji la CAF kweli
 
Hee ila hivi mnatumia akili kweli?? Jamani acheni kujiaibisha basi...Ahmed anatania so vinawauma kweli? So anavyosema semaji la FIFA so mnaona ni kweli ni msemaji wa FIFA? Haiingii akilini walai...mbona tumekosa akili japo ya kureason a simple issue....
Au na ww unatania??
Usimuulize maswali mengi sana.Ataogopa na kudhani yupo baraza la usuluhishi la kata.
 
Agoro Anduru.
Tunamkumbuka mwandishi mbobevu wa riwaya
 
Back
Top Bottom