Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Kwa hiyo ukawa unataka hadi kulia yeye kujiita semaji la CAF?Ahmed Ally wa Simba amekuwa akijiita Semaji la CAF. Taarifa hizo siyo za kweli, pichani chini Veron Mosengo Omba ndiye msemaji wa shirikisho la soka barani Africa CAF, Kwa Mujibu wa katiba ya shirikisho hilo Katibu mkuu yaani General Secretary ndiye msemaji wa taasisi
View attachment 2872496
Pia nimekuta pahala jezi zimeandikwa Simba bingwa wa Mapinduzi 2023/24 Taarifa hizo pia siyo za kweli.Bingwa wa Mapinduzi ni Mlandege
Wivu ni kidonda 😂Hee ila hivi mnatumia akili kweli?? Jamani acheni kujiaibisha basi...Ahmed anatania so vinawauma kweli? So anavyosema semaji la FIFA so mnaona ni kweli ni msemaji wa FIFA? Haiingii akilini walai...mbona tumekosa akili japo ya kureason a simple issue....
Au na ww unatania??
Jamaa lengo ni kuwakera, naona umejaa kwenye mfumo wake 😅Hee ila hivi mnatumia akili kweli?? Jamani acheni kujiaibisha basi...Ahmed anatania so vinawauma kweli? So anavyosema semaji la FIFA so mnaona ni kweli ni msemaji wa FIFA? Haiingii akilini walai...mbona tumekosa akili japo ya kureason a simple issue....
Au na ww unatania??
Mifumo imekutana basi... 😀 😀 😀Jamaa lengo ni kuwakera, naona umejaa kwenye mfumo wake 😅
Yani Simba inawashughulisha mnoo hahahaWivu ni kidonda 😂
Ni matokeo ya kuwa serious sana na maisha.Hee ila hivi mnatumia akili kweli?? Jamani acheni kujiaibisha basi...Ahmed anatania so vinawauma kweli? So anavyosema semaji la FIFA so mnaona ni kweli ni msemaji wa FIFA? Haiingii akilini walai...mbona tumekosa akili japo ya kureason a simple issue....
Au na ww unatania??
Kwa Ahmed Ally umeona utani ila kwa huyu jamaa umeshindwa kuuona utaniHee ila hivi mnatumia akili kweli?? Jamani acheni kujiaibisha basi...Ahmed anatania so vinawauma kweli? So anavyosema semaji la FIFA so mnaona ni kweli ni msemaji wa FIFA? Haiingii akilini walai...mbona tumekosa akili japo ya kureason a simple issue....
Au na ww unatania??
Halafu ni mbaya sanaNi matokeo ya kuwa serious sana na maisha.
sio mbaya sometimes kuweka mambo sawa..mji una wajinga wengi tu,pengine wapo lukuki wanaoamini Ahmed ni semaji la CAF kweliHee ila hivi mnatumia akili kweli?? Jamani acheni kujiaibisha basi...Ahmed anatania so vinawauma kweli? So anavyosema semaji la FIFA so mnaona ni kweli ni msemaji wa FIFA? Haiingii akilini walai...mbona tumekosa akili japo ya kureason a simple issue....
Au na ww unatania??
Usimuulize maswali mengi sana.Ataogopa na kudhani yupo baraza la usuluhishi la kata.Hee ila hivi mnatumia akili kweli?? Jamani acheni kujiaibisha basi...Ahmed anatania so vinawauma kweli? So anavyosema semaji la FIFA so mnaona ni kweli ni msemaji wa FIFA? Haiingii akilini walai...mbona tumekosa akili japo ya kureason a simple issue....
Au na ww unatania??