Kama inawezekana mapenzi bila kuvuana nguo hadi ndoa

Kama inawezekana mapenzi bila kuvuana nguo hadi ndoa

karv

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2019
Posts
1,802
Reaction score
3,253
Kama inawezekana mapenzi bila kuvuana nguo hadi ndoa

Basi

Pia inawezekana mapenzi bila kuombana hela hadi ndoa

Naamini tumeelewana

Naomba kuwasilisha
 
Kuhonga ni kutoa mkuu, usiogope tafuta pesa tu
 
Kama inawezekana mapenzi bila kuvuana nguo hadi ndoa

Basi

Pia inawezekana mapenzi bila kuombana hela hadi ndoa

Naamini tumeelewana

Naomba kuwasilisha
Hivi chakula bila mboga kinalika kweli?
Hivi maji bila sabuni yanaogeka kweli?
Hivi gari bila petrol linaenda kweli?
 
Kula tu!. Yaani tafuna kwa sababu na wewe hauna guarantee ya kuwa naye in a minute to come 😂🤐😥
 
Back
Top Bottom