Hivi chakula bila mboga kinalika kweli?Kama inawezekana mapenzi bila kuvuana nguo hadi ndoa
Basi
Pia inawezekana mapenzi bila kuombana hela hadi ndoa
Naamini tumeelewana
Naomba kuwasilisha
[emoji2960][emoji2960][emoji2960] INA MANA VYOTE VINAWEZ KUWEPO NA MTU ASIDUMUNaona umechanga nya Ndoa, Nguo, Pesa na mapenzi ambayo ni hisia za ndani, tena zisizoelezeka na kudumu kwa mtu mwingine.