Siungi mkono hoja ya kupiga, ila suala la kumtukana mama hata kama mama ni mkorofi namna gani sidhani kama ni la kiungwana. ila nafikiri ni busara kuwasikiliza mmoja mmoja kujua chanzo cha tatizo then kutumia busara zaidi kutatua ugomvi badala ya kutumia nguvu.
Ila ukikuta hali kama hiyo ujue wazi kuwa huyo mkeo hana adabu hata kidogo, hivyo hatua za makusudi ni lazima zichukuliwe mapema. Ugomvi na mama mkwe si tiketi ya kumtolea matusi ya namna hiyo hata kidogo.

Kumpiga mwanamke hakutokufanya uonekane mwanamme,unamkataza mkeo hata kwa sauti ya ukali ili awache kugombana na Mama,
halafu ndio unasikiliza kesi,sababu yeye pia mkeo hatopenda wewe ukiwa kama mume umtukanie mzazi wake hata kama mbaya vp,
hata kosa likiwa nila Mama yeye akiwa kama mke ni wajibu wake kumchukulia mkwewe kama anavyomchukulia mamake....asubiri akija mume walizungumze sio aanze kumsemea mbovu mzazi....
nimekupata mkuu.
Inahitaji ujasiri wa hali juu. Mama atukanwe halafu utumie busara za kusikiliza pande zote.
Hapo kosa kubwa ni kumtukana mama. Yaani aliyeniweka tumboni.
kwanza naanza kijizabua mwenyewe makofi maani ni ujinga wangu ulionifanya nioe mwanamke asie kuwa na adabu.
Angekua mkeo anamtukana mama yake mzazi i.e aliyekuzalia mke, ungeona sawa?
Hata kama mama mkwe ama mzazi amekosea,kumtukana matusi ya nguoni ni makosa. Well,hata kama ni jirani tu. Alotangulia kuona jua si mwenzio
kwanza naanza kijizabua mwenyewe makofi maani ni ujinga wangu ulionifanya nioe mwanamke asie kuwa na adabu.