....kama ingekuwa wewe ungefanyaje?

ngararumo

Senior Member
Joined
Oct 17, 2011
Posts
173
Reaction score
43
wewe una mke na jioni ukawa umeagana na mkeo unaenda kwa rafiki yako na ukamwambia mkeo kwamba utachelewa kurudi mkeo akakubaliana na wewe akakwambia ye atabaki nyumbani....kumbe wewe safari yako ilikuwa ya kwenda club na wala si kwa rafiki yako kama ulivyomwambia mkeo...umefika club umekutana na mwanamke mkawa mnacheza ukamtongoza na akakukubalia tokana na club kuwa na mwanga wa kutosha hukumuona vizuri so mkapanga muende guest mlivyoingia ndani kutokana na mwanga wa taa la asha unagundua ni mkeo....utafanya nn?
 
Hiyo inaitwa bila bila...yaani hufanyi kitu....unajua kuwa umeingizwa mjini na mjanja si wewe tu....
 


Hahahahaha lol! umekurupuka Kaka...mkeo unatakiwa umjue hata akiwa gizani banaaa!!!!...hukushtukia hata sauti Mkuu!? kwamba sauti hii nimewahi kuisikia mara nyingi sana!? 🙂🙂 hakuna la kufanya hapo maana wote ni wakosaji ilichobaki ni kuombana samahani na kuendelea na ndoa yenu.

 
Last edited by a moderator:
Mpaka unamtongoza ni lazima aongee, je utakuwa kiazi kwa kutotambua sauti ya mkeo kisa mwanga hafifu? By the way, acheni uzinzi.
 

Its illogical! Yaani mke wako ushindwe kutambua hata sauti, harufu nk!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…