Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Yapo mapendekezo ya kumteua Majaliwa K. Majaliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM bara. Ipo mipango yakumwandaa Innocent Bashungwa kuwa Waziri Mkuu ajaye endapo CCM itashinda uchaguzi 2025.
Endapo Majaliwa akiwa Makamu Mwenyekiti Bara ndoto yake ya kugombea Urais itaendelea au itazimwa? Endapo itazimwa, wana CCM watakubali kuwa wagombea Urais kutoka kanda ya ziwa baada ya akina January kufungiwa katika kabati la siasa za majukwaani?
Je, endapo wagombea wataendelea kuandaliwa na Mwenyekiti, haupo uwezekano watu wenye nguvu ya umma wakaanza kutafuta madaraka nje ya CCM? Au wataendelea kusimama wakishuhudia ndoto zao zikizimwa?