Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Dotto Mashaka Biteko ndo next PM mark my words
Sina shida na huyu kijanaDotto Mashaka Biteko ndo next PM mark my words
Sheikh mnyeshani aliliongelea hiloKiroho waziri mkuu hawi Rais huo ni mwiko wa kiroho ndio maana wengi hawakutoboa!hata majaliwa nadhani watamficha Ili asigombee japo uwezo anao!!
Bashungwa kupata u pm ni demotion kwake yule jamaa anaandaliwa kuwa Rais kabisa!
Pm ni Doto biteko yaani at step up kirahis sana pale juu!
Mengine uhai ndio utaamua coz hizi ni zama za vifo vya viongozi Ili kuleta mageuzi makubwa ya nchi yetu!!
Kwa uchaguzi upi? Kwa ushindi gani?Yapo mapendekezo ya kumteua Majaliwa K. Majaliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM bara. Ipo mipango yakumwandaa Innocent Bashungwa kuwa Waziri Mkuu ajaye endapo CCM itashinda uchaguzi 2025.
Endapo Majaliwa akiwa Makamu Mwenyekiti Bara ndoto yake ya kugombea Urais itaendelea au itazimwa? Endapo itazimwa, wana CCM watakubali kuwa wagombea Urais kutoka kanda ya ziwa baada ya akina January kufungiwa katika kabati la siasa za majukwaani?
Je, endapo wagombea wataendelea kuandaliwa na Mwenyekiti, haupo uwezekano watu wenye nguvu ya umma wakaanza kutafuta madaraka nje ya CCM? Au wataendelea kusimama wakishuhudia ndoto zao zikizimwa?