Dah masela eeh! Hii kitu 'ADMITTED APPLICANTS' ipo under construction kama ilivyokuwa kwa ile IR', na IR yenyewe ilikuja kuwa active mishale ya saa tano sita hivi maana nilikuwa naifuatilia kinoma kwahiyo kwa kubashiri mi naona na hii ya admission itakuwa hivyohivyo.Atakayeipata aidownload aweke humu au sio mazee wengine tupo pabaya.