CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Kuna matatu watu wameyafikiria kutokana na issue ya gazeti la uhuru jana plus reaction yake:
* Kuzima mjadala wa mahojiano ya SSH na Salim Kikeke amabayo kiukweli yalikuwa ni disaster sana sana yaliongeza sympathy kwa mbowe na kufanya Rais aonekane katili na aliyeongea vitu visivyokuwepo kwa mfano kusema tayari kuna watu wameshahukumiwa kwenye hiyo kesi
* Kutengeneza habari kama ile ili kuwa alert watu fulani kwamba SSH bado yupo sana haondoki 2025 hivyo wasiwe na ndoto ya kugombea
* Kutengeneza mazingira ya kufungia magazeti mengine kama raia mwema ambalo kwa sasa ni la moto kwelikweli na lina wapenzi wengi mtaani ili wakilalamika waambiwe mbona hata uhuru lilifungiwa?
Sasa hoja yangu ni hii kama hayo yote au hizo assumptions ni za uongo basi pole yake mwenyekiti wa CCM maana kama intelejensia ipo vizuri gazeti tangu liko kiwandani lingeweza kuzuiwa kuchapishwa, inashangaza sana ni mikono mingapi lilipita kabla halijachapishwa?
Kama ni kweli hakukuwa na spinning basi hana watu kabisaa ni bora atambue hilo mapema