Kama issue ya gazeti la Uhuru siyo spinning, basi Mwenyekiti wa CCM Hana watu kabisa

CCM hawajahi kushinda chaguzi yoyote hata Tony Diaalo alikiri hivyo last time
 
Naweza kusema walau magufuli alikua na uugwaji mkono. Ila huyu mama sio siri mitaa haimkubali, wale waliokua magufuli damdam hawamuelewi kabisa uyu maza.

Kaja kuwakimbiza zaidi wapiga kura wake kwenye hii ishu ya chanjo, tumeona kule wazazi wanaandamana mashuleni hao wote ukiwauliza kuhusu Samia jibu lao ni moja tu kua hawamkubali.

Kama hiyo 2025 atagombea basi nguvu itakayotumika ni zaidi ya miaka yote kwasababu huyu mtu ni hakubaliki jama. Cha ajabu sasa kwa watu wa karibu yangu wanawake wenzie ndio hawamkubali zaidi.
 
Kwa interview ile, ni wazi kuwa;

å Hajui nini kinaendelea ndani ya nchi yake ambaye yeye ni Rais wake...
å Hajui katiba na sheria za nchi
å Hafai kuwa kiongozi ktk ngazi hiyo ya Urais...
å Wapinzani wake ndani ya chama na serikali walikuwa sahihi kutompa nchi mara baada ya Magufuli kufa na kuzikwa. Bahati njema akaokolewa na katiba ya nchi, wakaamua wampe "the benefit of the doubt". Sasa it's justifiable kuwa she's unfit to the presidential job...
 
Issue sio kutokuwa na watu peke yake, inawezekana nae hayupo vizuri kwenye kupanga mbinu zake ili kukabiliana na maadui zake chamani.
Ujue yule ni mwanamke ukumbuke alikutana na mwanaume, inawezekana alipangwa vizuri cha kusema, Bahati mbaya ndo hivo tena
 

Ile ilikuwa Futuhi ndiyo ni FUTUHI.
 
Namba tatu kwani hilo ni eneo langu katika muktadha wa political spinning, diluting double standards absence.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…