Nilifikiri ungesema kama Tanzania haitoshiriki....Yan. Inaskitisha sana kuona nchi kama Italy
Inakosa kwenda kushiriki world cup
2018 huko Kwa purtin na mvuto wa
Haya mashindano umeisha bingwa
maraa kadhaa anashindwa kwenda
Aiseee
Italy anahitaji ushindi mnono dhid
Ya Sweden jumatatu hii ili afke Kwa purtin
Maana game ya kwanza Italy alichapwa
1 Kwa mtungi ugenini
Sasa nashindwa kuelewa nn
Kimeikumba hii nchi jaman
Maana hawana vita wala nn
Wamezembee tu kama Netherland
Shenz kabsa
mbona Tanzania hakuna vita lakini hatujawahi kufuzu hata kombe la AfricaYan. Inaskitisha sana kuona nchi kama Italy
Inakosa kwenda kushiriki world cup
2018 huko Kwa purtin na mvuto wa
Haya mashindano umeisha bingwa
maraa kadhaa anashindwa kwenda
Aiseee
Italy anahitaji ushindi mnono dhid
Ya Sweden jumatatu hii ili afke Kwa purtin
Maana game ya kwanza Italy alichapwa
1 Kwa mtungi ugenini
Sasa nashindwa kuelewa nn
Kimeikumba hii nchi jaman
Maana hawana vita wala nn
Wamezembee tu kama Netherland
Shenz kabsa
Nyakati zinabadilika kiongozi hata Mimi sikutegemea USA wangeshindwa kushiriki tena wenyewe walitakiwa suluhu iwayo yote matokeo wakapigwa magoli mengi tena na timu hiliyokuwa kibonde......Yan. Inaskitisha sana kuona nchi kama Italy
Inakosa kwenda kushiriki world cup
2018 huko Kwa purtin na mvuto wa
Haya mashindano umeisha bingwa
maraa kadhaa anashindwa kwenda
Aiseee
Italy anahitaji ushindi mnono dhid
Ya Sweden jumatatu hii ili afke Kwa purtin
Maana game ya kwanza Italy alichapwa
1 Kwa mtungi ugenini
Sasa nashindwa kuelewa nn
Kimeikumba hii nchi jaman
Maana hawana vita wala nn
Wamezembee tu kama Netherland
Shenz kabsa
Hatar sana chief yan hata hapoNyakati zinabadilika kiongozi hata Mimi sikutegemea USA wangeshindwa kushiriki tena wenyewe walitakiwa suluhu iwayo yote matokeo wakapigwa magoli mengi tena na timu hiliyokuwa kibonde......
Dhaaaa mkuu yan umeniongezeaa moralmtaliano alivyo mtata... world cup russia lazima awepo...
na alivyo mtukutu unaweza muona hadi nusu fainali akafika..
huyo sweden ajiandae hiyo j 3
Dhaaa kweli mkuuu round hiiwaitaliano hatuna striker mwaka huu
kipindi hicho tunachagua aanze nani hatu tutamuweka nani tupo vibaya sana waitaliano
striker wetu kwa pamoja tulikuwa na
Captain dela Roma yote
Francesco Totti
Philipo Pippo Inzagh
Alessandro Del Pietro
Alberto Gilardino
Laquinta
chagua wa kuanza ila tunashinda tu
Tukatie tu aibu lakini kushiriki ni hatua kubwa ya kihistoriaAfcon inawashinda world cup c ndo
Tutatia aibu kabsa
Umekariri tumtaliano alivyo mtata... world cup russia lazima awepo...
na alivyo mtukutu unaweza muona hadi nusu fainali akafika..
huyo sweden ajiandae hiyo j 3
Hata mim, unajua kuna watu hawajui kwamba kam tz inachekwa, bhas wote tuliomo tunachekwa. Mtu anaishi kam a man of 1st world country in a 3rd world Country, na ndio shiiida hii. Sem tunaheahim maon yakeNilifikiri ungesema kama Tanzania haitoshiriki....
Ni shidaHata mim, unajua kuna watu hawajui kwamba kam tz inachekwa, bhas wote tuliomo tunachekwa. Mtu anaishi kam a man of 1st world country in a 3rd world Country, na ndio shiiida hii. Sem tunaheahim maon yake