Kama Italy ndo wanakosa kwenda Russia 2018 basi round hii world cup Haina maana

Kwa mara ya kwanza Taifa Stars haishiriki hii WC haitakua na mvuto
 
Azzuri wamekuwa Abbaya kama namuona ibrahomavic anapiga jaramba.UsipI iheshimu defence ya Sweden unakuwa huitendei haki jamaa muda mwingi wameshambuliwa wakahimili mikiki

Swadaqta mkuu defence yao ipo imara mno.wangepita walatino ingependeza zaidi.
 
Swadaqta mkuu defence yao ipo imara mno.wangepita walatino ingependeza zaidi.
Lindelof na yule captain wao duh kamawe wajukuu wa mussolin hawatawasahau ila duh azzuri sio kwamba nambeza ila gabbiadin kweli? unataka kwenda kwa putin nae akiongoza mashambulizi?
 
Hizi picha zimenihuzunisha sana!
Huwa nachukulia kuwa haya ni mapenzi ya dhati na uzalendo kwa taifa lako
Japo sijawahi kubahatika kuona haya hapa kwetu!
 
Germany hapo ni kufurahia tu kutolewa kwa italy maana ndio timu inayomsumbuaga pindi wanapokutana, sasa Germany ana nafasi kubwa ya kuchukua kombe 2018
 
Germany hapo ni kufurahia tu kutolewa kwa italy maana ndio timu inayomsumbuaga pindi wanapokutana, sasa Germany ana nafasi kubwa ya kuchukua kombe 2018

Argentina tunanyanyuwa mkuu
 
Poor Italy____nawapenda sana,ila Sweden imewapenda zaidi.

Bila Argentina/KING MESSI, Aguero,Dybala,Lcardi, De Maria world cup isingenoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…