Kama Jamiiforums itadumu milele. Ungependa vizazi vingine visome jambo gani ulilowahi kuandika humu?

Kama Jamiiforums itadumu milele. Ungependa vizazi vingine visome jambo gani ulilowahi kuandika humu?

Hapo Tz ishaoverlap Kenya! Napenda waje wasome uzi fulani sijuandika bado!
 
Jambo kuu nitapenda wasome ni hili, " Njaa isiwazidi nguvu mkafika mahali mkajipendekeza,mkazungumza au kutenda hovyo kwaajili ya matumbo yasiyo na shukran, watafute pesa zao wenyewe kwa manufaa ya kwao wao na familia zao
Wanaweza jiunga kwenye siasa kwa sharti la ukombozi na utetezi wa haki zao na jamii zao sio NJAA ,madhara ya kufanya siasa kwa njaa ni makubwa mno hususan kwa raia wa kawaida
 
Wajukuu

Six years Sijuti kuwepo hapa Jamvini
 
Nawasihi wasimwekee dole la tezi dume yule aliyesimama anapotaka kuketi abadani. Hususani baada ya wao kupandishwa au kuwa sehemu yenye maamuzi ya kuwagusa waliowapandisha.
 
Back
Top Bottom